watoto

Sale Price:$333.00 Original Price:$999.00
sale

Fasihi ya watoto ni mpya kwa kiasi fulani katika masikio ya wanafasihi hasa wakongwe. Fasihi ya watoto si mpya kwa maana ya watoto kutohusishwa katika fasihi kwa ujumla bali ni kutokana na kutotazamwa kwa kundi hili kwa upekee wake katika utunzi na uchambuzi wa kazi za fasihi (Herman (sasa Bakize), 2012).

Quantity:
Add To Cart